UNASIKILIZA LIVE MO INTERNET RADIO

WELCOME TO MO INTERNET RADIO

Maneno ya Missy Elliot kwa Mnigeria Lil Kesh baada ya kacheza shoki kwenye video yake ya WTF.


Mwimbaji kutoka Marekani Missy Elliot ameonekana kupenda mtindo wa kucheza wa shoki uliochimbukia Nigeria na hivi karibuni aliutumia kwenye video yake ya WTF (Where They From).
Baada ya video hii kuwa maarufu Missy aliandika maneno machache kwa msanii aliyefanya mtindo huu kujulikana zaidi ambaye ni Lil Kesh.

This entry was posted in

Leave a Reply